Aliyekuwa Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Shana aliyewahi pia kuwa Kamanda wa Polisi katika mikoa ya Mwanza na Arusha amefariki akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa kamili zitakujia punde hapa, fuatilia www.diramakini.co.tz

Tags
Habari