Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 2,2024

DAR-Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) limetangaza kifo cha gwiji wa Lugha ya Kiswahili na ushairi nchini, Amiri Sudi Andanenga maarufu ‘Sauti ya Kiza’ kilichotokea usiku wa kuamkia Mei Mosi, 2024.
Kupitia taarifa ya BAKITA iliyotolewa Mei Mosi,2024 imeeleza kuwa, Andanenga (88) amefariki dunia katika Hospitali ya Daktari Mvungi iliyoko Kinondoni jijini Dar es Salaam.

“BAKITA linatoa pole kwa familia, wadau na wapenzi wa lugha ya Kiswahili pamoja na Watanzania wote".








Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news