MGOMBEA URAIS WA CCM DKT. MAGUFULI AUNGURUMA UWANJA WA CCM KIRUMBA ULIOFURIKA WANANCHI




Sehemu ya umati wa maelfu kwa maelfu ya wananchi uliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na  Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja
wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7,2020
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa
Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano
wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
leo Jumatatu Septemba 7, 2020.

Wagombea nafasi za Udiwani katika mkoa wa Mwanza wakisalimia kwa
push-up na nyimbo za hamasa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya maelfu kwa maelfu ya
wananchi waliojitokeza katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni
katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7.

.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news