HomeHabari Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia leo saa 3:00 usiku Septemba 24,2020 Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo mengi yanatarajiwa kuwa na mawingu kiasi na vipindi vya jua. Tags Habari Uchumi Facebook Twitter