WAZIRI MKUU MAJALIWA AANDIKA HISTORIA MANYARA UZINDUZI KAMPENI CCM
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Kwaraa mjini
Babati kuzindua Kampeni za CCM Mkoa wa Manyara, Septemba 1, 2020. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu na Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa akimkabidhi
nakala ya Ilani ya Uchaguzi, Mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Babati
Mjini, Pauline Gekul, baada ya kuzindua Kampeni za CCM Mkoa wa Manyara
kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipozindua Kampeni za CCM Mkoa wa Manyara kwenye
uwanja wa Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).