Ofisi ya Waziri Mkuu ina jukumu la kuratibu shughuli za maafa kwa kuhakikisha Wizara, Idara, Taasisi, Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na asasi zote zisizo za kiserikali zinashiri kikikamilifu katika kuzuia, kupunguza madhara na kujiandaa kukabiliana na kurejesha hali kwa mujibu wa Sheria ya Menejimenti ya Maafa namba 7 ya mwaka 2015.
Hivyo, kufuatia utabiri wa mwelekeo wa mvua za msimu katika kipindi cha miezi ya Novemba, 2020 hadi Aprili, 2021 uliotolewa leo na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imeonekana kuna haja ya Serikali na wadau wengine kuchukua hatua...

Tags
Habari