Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Antiphas Lissu akisalimiana na waamini mbalimbali katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, jijini Dar es Salaam, baada ya kuhudhuria ibada kanisani hapo leo Jumapili, Oktoba 4, 2020.