TCU yasogeza mbele tarehe ya kutangaza majina ya waombaji waliodhailiwa awamu ya pili
Kwa mujibu wa TCU majina yaliyodhailiwa katika Awamu ya Pili yatatangazwa na vyuo husika tarehe 29 Oktoba, 2020 badala ya tarehe 24 Oktoba, 2020 iliyokuwa imetangazwa hapo awali.