LIVE: TAMKO LA CHADEMA MBOWE ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe anazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 27, 2020 kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho juu ya wabunge wa Viti Maalum.

Post a Comment

0 Comments