Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) atua Iringa



Pichani juu na chini Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Stephan Ngailo akiwa katika ziara mkoani Iringa kujionea upatikanaji na usambazaji wa mbolea.


Mkaguzi wa Mbolea kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Bw. Allan Mariki akiwa katika ukaguzi wa mbolea mkoani Iringa ili kuhakikisha kuwa kanuni,taratibu na sheria zinafuatwa.

Sehemu ya mbolea iliyohifadhiwa kwenye moja la ghala mkoani Iringa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news