Rais mteule Joe Biden, Kamala wakutana na Kamati ya COVID-19

Novemba 9, 2020 Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake wa Rais Kamala Harris walikutana na Kamati Maalum ya Kuupatia Ufumbuzi Ugonjwa wa Virusi vya Corona (COVID-19) ambayo inajumuisha wanasayansi na wataalam wa afya ikiwa na dhamira ya Mpango wa Biden-Harris dhidi ya COVID-19 wa kuhitimisha virusi hivyo ambavyo vimeua maelfu ya Wamarekaini kabla ya kuapishwa rasmi Januari 20,2021. Mkutano huo umefanyika kwa njia ya mtandao. [VPO/DIRAMAKINI].

Post a Comment

0 Comments