Utabiri wa hali ya hewa Novemba 10, 2020 'MVUA KUBWA'

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 10, 2020 unaletwa na mchambuzi Doreen Mwara kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
 


 
 ANGALIZO

KWA MUJIBU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA), VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA PWANI YA KASKAZINI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, MOROGORO, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA) NA MKOA WA LINDI.

Post a Comment

0 Comments