Utabiri wa hali ya hewa Novemba 13, 2020

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 13, 2020 unaletwa na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo mengi ya nchi yanatarajiwa hali ya mvua na vipindi vya jua.

Post a Comment

0 Comments