Matarajio ya hali mbaya ya hewa nchini kwa siku tano

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ndani ya siku tano kuanzia sasa maeneo mengi yatakabiliwa na mvua kubwa na upepo mkali, hivyo kulingana na taarifa waliyoitoa hapa chini inawataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ili kuwa salama popote walipo nchini.
Post a Comment

0 Comments