Magazeti leo Mei 2,2026

Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, ameishauri Serikali kulegeza masharti ya utoaji mikopo kwa vijana ili kurahisisha upatikanaji wake na kuwasaidia kujikwamua kiuchumi.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Shaibu amesema masharti yaliyopo pamoja na mgawanyo wa fedha katika wizara na taasisi mbalimbali unakwamisha vijana wengi kutonufaika na mikopo hiyo.

Amesisitiza kuwa kuunganisha mifuko ya mikopo kutasaidia kuweka utaratibu mmoja ulio wazi na rafiki, hatua itakayoongeza ufanisi na kuwafikia vijana wengi zaidi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here