Waziri Ndumbaro ampokea mhamasishaji wa utalii Kimataifa Drew Binsky


Mheshimiwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro kushoto akimpokea Drew Binsky, uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020. Bw Drew ambaye anawafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.
Mh Waziri wa Maliasili na Utalii akimuonyesha kitu Drew Binsky, uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020 wakati alipompokea leo. 

Bw.Drew ambaye ana wafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.
Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akiteta jambo na Drew Binsky wakati alipokwenda kumpokea uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020. Bw Drew ambaye ana wafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news