LATRA: Hizi ndiyo nauli za daladala Mkoa wa Dar es Salaam

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) imetoa mtririko wa nauli za daladala katika Mkoa wa Dar es Salaam kama ifuatavyo hapa chini;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

5 Comments

 1. Mbezi mwisho mbagala rang3

  ReplyDelete
 2. Tunaomba gharama za nauli kutoka mbezi mwisho kwenda mbagalq rangi 3

  ReplyDelete
 3. Tafadhali weka na rout ya CHANIKA —MACHINGA

  ReplyDelete
 4. Bado utalatibu aujakaa sawa Wana nchi tunaumia sana swala nauli zimepandishwa kiolela olela Kila mmiliki ana nauli yake. Tunaitaka mamlaka husika ijitokeze hadhali kutowa mpangilio wa nauli kuwa tumeongeza sh ngapi

  ReplyDelete
 5. Latra bado mnaumiza wananchi, nauli hazieleweki Mbezi -Temeke kupitia Kinyerzi ni shida balaa

  ReplyDelete
Previous Post Next Post

International news