LIVE: Taifa Stars vs Zambia dimba la Limbe, Cameroon

 Haya ni matangazo ya moja kwa moja kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) nchini Cameroon ikivaana na timu ya taifa ya Zambia ndani ya dimba la Limbe, katika mchezo wake wa kwanza wa michuano ya CHAN.

Kundi D linajumuisha Tanzania, Zambia, Namibia na Guinea endelea kuburudika kwa mtanange huo mkali.


Post a Comment

0 Comments