Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan awafariji majeruhi wa ajali ya treni Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji bibi Mariam Malembo (24) mkazi wa Morogoro mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana usiku katika Eneo la Bahi Dodoma wakati Treni hiyo ikitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Kigoma, anaepatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General jijini Dodoma leo Januari 03,2021. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana usiku katika Eneo la Bahi Dodoma wakati ikitokea Dar es Salaam kuelekea Mkoani Kigoma, wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General jijini Dodoma leo Januari 03,2021. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mtoto Ali Kayuni (8) Mkazi wa Kondoa anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03,2021 baada ya kupata ajali ya kujeruhiwa na umeme. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais/Diramakini).

Post a Comment

0 Comments