Rais Magufuli ampokea Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work ZewdeRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege waGeita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde ikwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021
Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akitelemka katika ndege mara baada ya kutua katikaUwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021. (Picha zote na Ikulu).

LIVE
President Sahle-Work Zewde has arrived in Chato, United Republic of Tanzania, for a one-day working visit in East Africa. 

Upon arrival, Sahle was warmly welcomed in Chato, by President of URT Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Post a Comment

0 Comments