RAIS MAGUFULI AZINDUA JENGO LA JITEGEMEE NA STUDIO MPYA ZA CHANNEL TEN PLUS, RADIO MAGIC FM NA CLASSIC FM

Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili mtaa. wa Lumumba jijini Dar es salaam kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za Channel Ten Plus,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi Februari 25, 2021 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizundua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studi za Channel Ten Plus,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi Februari 25, 2021 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika studio mpya za Magic FM baada ya kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za Channel Ten Plus,Radio Magic FM na Radio Classic FM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 25, 2021 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za Channel Ten Plus,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi Februari 25, 2021 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea maeneno mbalimbali baada ya kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za Channel Ten Plus,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi Februari 25, 2021. (Picha zote na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments