Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi yashika kasi mkoani Njombe

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Isihaka Shariff akimuelimisha mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Dinah Lwaga akimuelimisha Bw. Samwel Meshack ambaye ni mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Dinah Lwaga akimuelimisha Bw. Samwel Meshack ambaye ni mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Chama Siriwa akimuelimisha Bw. Stanley Ponela ambaye ni mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Mhandisi Marwa Rubirya akiwahutubia wafanyabishara wa mjini Njombe (hawapo pichani) katika ukumbi wa Turbo wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. James Ntalika akiwasilisha mada kuhusu kodi na umuhimu wake wakati wa semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani Njombe. Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. James Ntalika akiwasilisha mada kuhusu kodi na umuhimu wake wakati wa semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. Wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mhandisi Marwa Rubirya (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. Wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mhandisi Marwa Rubirya (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo.(Picha zote na Veronica Kazimoto-TRA).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news