Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mara atumia dakika tano kumjibu Mnyika

"Namuonya John Mnyika aache mara moja kumfuatilia na kumsema vibaya kwenye mitandao ya kijamii Rais Magufuli pia si size yake, hatujui ana ajenda gani ma yeye baada ya kujua alipo, sisi tunajua Rais wetu anapiga kazi,"amesema Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samuel Kiboye

Post a Comment

0 Comments