Magazeti leo Aprili 3,2026

Tume ya Taifa ya Mipango imefanya mazungumzo na wadau wa maendeleo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa maendeleo na kuendeleza mahusiano ya kimkakati.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho, Katibu Mkuu wa Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk.Tausi Kida amesema mazungumzo hayo yamelenga kujenga uelewa wa pamoja kuhusu vipaumbele vya maendeleo vya Tanzania vilivyoainishwa katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP IV) na Dira ya Maendeleo ya 2050.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here