BAKWATA wateua Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa Makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa


Picha na Mwananchi Digital.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam, Msemaji wa Mufti Sheikh Khamisi Mataka amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(6) limefanya uteuzi wa Masheikh wafuatao kuwa masheikh wa Mikoa:-

MASHEIKH WA MIKOA

1. ARUSHA : SHABANI JUMA

2. KILIMANJARO : MLEWA SHABANI KIMWAGA


3. DAR ES SALAAM : ALHAD MUSA SALIM


4. DODOMA : MUSTAFA RAJABU


5. LINDI : MOHAMMED SAID MUSHANGANI


6. MANYARA : MOHAMMED KADIDI

7. MARA : MSABAHA KASIM NGABO

8. GEITA : ALHAD YUSUPH KABAJU

9. MTWARA : NURDIN MANGOCHI

10. SINGIDA : SHEIKH SALUM .M. MAHAMI

11. TANGA : ALI JUMA LUWUCHU

12. KAGERA : HARUNA KICHWABUTA



13. RUKWA : RASHID AKILIMALI.



14. TABORA : IBRAHIMU MAVUMBI.



15. NJOMBE : RAJABU MSIGWA



16. SIMIYU : MAHMOUD KALOKOLA



17. SHINYANGA : ISMAIL HABIBU MAKUSANYA



18. SONGWE : HUSSEIN BATUZA

19. Pwani : Abbasi Khamisi Mtupa




Masheikh hao wanaungana na

20. Sheikh Hassani Musa Kabeke wa Mwanza na

21. Sheikh Mashaka Nassoro Kakulukulu wa Katavi

ambao walishateuliwa awali.




Aidha katika kikao hicho Baraza la Ulamaa limewakaimisha masheikh wapya wa Mikoa ifuatayo:-




22. RUVUMA : ALLY MAHABA



23. MBEYA : MSAFIRI AYASI NJALAMBAHA



24. IRINGA : SHEIKH SAID AL ABRI




Aidha, taarifa hiyo imesema wafuatao wataendelea kukaimu nafasi zao mpaka pale Baraza la Ulamaa litakapofanya uteuzi rasmi kwa Mikoa hiyo.

25. Sheikh Twaha Kilango wa Mkoa wa Morogoro na

26. Sheikh Iddi Hassani Kiburwa

MAKATIBU WA MABARAZA YA MASHEIKH

Msemaji huyo wa mufti amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(7) limefanya uteuzi wa Makatibu wa Baraza la Masheikh la Mikoa kama ifuatavyo:-


1. ARUSHA : SAID ABDALLAH CHUDI



2. KILIMANJARO : TAQDIR HAJJ MUHAMMED DHAHABU



3. DAR ES SALAAM. : ALLY SAID KIZEGERO



4. DODOMA. : BUNIAMINI ABASI ABDURABI



5. NJOMBE : USTADH. SAAD ALLY



6. MOROGORO : AJALI AHMED MLENGA



7. MWANZA : ALHAJI OTHMAN MASASI



8. LINDI :

9. MANYARA UST. MWINYI MASOUD RASHID.



10. MARA : SALUM MOHAMED NYISUKA



11. GEITA : BAHARAN RAMADHANI SALUM



12. MTWARA : ABDULHAFIDH KASSIM



13. MBEYA : ABASI MSHAURI



14. SINGIDA : SHEIKH OMARY ABUBAKAR ALLY



15. TANGA : USTADH JUMA BAKARI



16. KAGERA : NAJIM MUSTAFA KHALID



17. KIGOMA : ALHAJI MAULID SANGI



18. IRINGA. : ABDULRAHIM NGOLE



19. PWANI : USTADH SALMIN AMMAR BUDAP



20. RUKWA : UST. MBEGU ABDALLAH HANGOLWA



21. SHINYANGA :

22. SIMIYU : HUSSEIN AHAMADI MBARUKU



23. KATAVI : SHEIKH MUSSA KHAMISI KAZIGE



24. TABORA : SHEIKH JABU SAID



25. RUVUMA :

26. SONGWE : SHEIKH ALLY MAMBEA




MAKADHI




Wakati huohuo Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84(13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:-




1. ARUSHA : SHEIKH RAJABU HASSAN KIUNGIZA



2. KILIMANJARO : SHEIKH HUSSEIN HAMISI CHIFUPA



3. DAR ES SALAAM : RAMADHANI SALUMU OMAR KITOGO



4. DODOMA. : SHEIKH KISUSU BIN MKUMBO MWAGONDA



5. MOROGORO : SHEIKH MUSA HARUNA BORINGO.



6. MWANZA : SHEIKH HAMISI ALMASI



7. MANYARA : SHEIKH JUMA ISERE.



8. MARA : SHEIKH JUMA ADAMU



9. GEITA : SHEIKH ELIYASA SAID



10. MTWARA : SEIKH ABALLAH ALI HEMED



11. MBEYA : SHEIKH HASSAN MBARAZI



12. : SINGIDA : SHEIKH SHABANI CHAMBILA MKANGA



13. KAGERA : SHEIKH MAULANA MBARAKA JUMA



14. KIGOMA : SHEIKH IDRISA ABDULMUHSIN KITUMBA



15. IRINGA. : SHEIKH ABUBAKAR CHALAMILA



16. PWANI : SHEIKH ZUBEIR RASHID



17. RUKWA : SHEIKH KHAMISI ISSA KIGEZI



18. TABORA : SHEIKH IBRAHIMU HAJI



19. KATAVI : SHEIKH MAJALIWA MRISHO



20. NJOMBE : SHEIKH ABDALLAH SWALEHE ABDALLAH



21. SIMIYU : SHEIKH ISSA KWEZI KIDAI



22. SONGWE : SHEIKH IDD KASSIM




Taarifa hiyo imesema Mikoa Minne (4) iliyobakia uteuzi wake utafuatia baadae.




MAKATIBU WA MAKADHI WA MIKOA

Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84 (13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:-




1. ARUSHA : SHEIKH MBARAKA MUSA MTONYI



2. KILIMANJARO : USTADH ISSA JUMA ISSA.



3. DAR ES SALAAM : SHEIKH ABDULKARIM PAZI.



4. DODOMA. : MOHAMED SENDORO



5. MOROGORO : USTADH SWALEHE KASIM LUKANDA



6. MWANZA : USTADH RAMADHANI KHAMISI



7. MANYARA : USTADH ADAM ISSA ZUBEIR.



8. MARA : KUDRA IBRAHIM MIGOZI



9. GEITA : HAMISI MRISHO MLEA



10. MTWARA : MUSSA HAMISI MWARABU



11. MBEYA : ALLY KHAMIS FURUKUTU



12. SINGIDA : BDALLAH TAKAZA



13. KAGERA MIKIDADI ABASI BANOBI



14. KIGOMA : MAJALIWA AHMAD KAGAMA



15. IRINGA. : USTADH ABDALLAH KHALID



16. RUKWA : USTADH ABDALLAH HASAN KATALANGO



17. TABORA. : ATHUMANI BAKAR KABOGOTA



18. KATAVI : SHEIKH OMAR SHABANI KABWIRI



19. NJOMBE : IDD AMANI GADAU



20. SIMIYU : KASSIM RAJABU MOHAMED



21. SONGWE : HUSSEIN JUMA



22. TANGA : USTADH ALLY SALEH

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na katibu mkuu BAKWATA alhaj Nuhi Mruma pamoja na katibu wa mufti sheikh Mussa Hemedi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news