MACHI 17 KILA MWAKA KUWA MAGUFULI DAY: KUMBUKUMBU YA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI

Katika kulinda Jitihada na Fikra za Hayati Magufuli ili vizazi vya baadae viendelee kumsoma na kumuishi kwa namna alivyowatetea wananchi masikini, Kuinua Uchumi wa Nchi, Maendeleo ya Ghafla, Kuiheshimisha TANZANIA katika Dunia, Kusimamia rasilimali za Taifa, Kuonesha mfano wa uongozi bora Duniani, Kuleta heshima kati ya Tajiri na Masikini, Kuonesha uthubutu wa maamuzi chanya kwa Taifa, Kutufundisha kuwa TANZANIA sio masikini na inajiweza yenyewe.
Kupambana na ufisadi, Kutuweka kifua mbele kwenye JANGA la COVID-19, Kutoa kauli za kinabii zilizofuatwa na mataifa makubwa duniani. Kuifundisha Tanzania misingi ya UZALENDO wa kweli.
Tuhakikishe vizazi vyetu vinafahamu na Vinaenzi furaha ya miaka 6 tuliyomtumia Mtoto wa CHATO kwa Jina JOHN.

Fanya MACHI 17 iwe MAGUFULI DAY

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news