🔴𝐋𝐈𝐕𝐄:Ni Samia Suluhu Hassan leo jijini Dodoma, CCM kumthibitisha uenyekiti Taifa

Wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM wamewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma wakisubiri kuanza kwa mkutano huu wenye ajenda moja ya kumthibitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mwenyekiti wa chama hicho tawala nchini Tanzania.

Post a Comment

0 Comments