🔴𝐋𝐈𝐕𝐄:Rais Samia akiwa ziarani nchini Uganda leo Aprili 11,2021

VerifieMhe.Rais Samia tayari amewawasili nchini Uganda.

Mhe.Rais Samia tayari amewawasili nchini Uganda.
LIVE tizama hapa
Majadiliano tizama hapo chini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulishwa kwa viongozi mbalimbali na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulisha Mkurugenzi Mkuu wa TPDC Dkt Mataragio kwa mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news