🔴LIVE: Simba SC vs Kaizer Chiefs

 

Kikosi cha Simba kitakachoanza leo Mei 15 dhidi ya Kaizer Chiefs mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali ya kwanza:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Mohamed Hussein

Joash Onyango

Pascal Wawa

Larry Bwalya

Taddeo Lwanga

Clatous Chama

Jonas Mkude

Chris Mugalu

Luis Miquissone

Kikosi cha Kaizer Chiefs vs Simba SC  

Starting 11: Bvuma, Cardoso, Ngezana, Mathoho, Zulu, Frosler, Blom, Manyama, Parker , Zuma, Nurković

Subs: Akpeyi, Mphahlele, Agay, Baccus, Kambole, Castro, Katsande, Ngcobo, Mashiane

Kocha Mkuu: Gavin Hunt

Matokeo

Wekundu wa msimbazi Simba SC wamepoteza mchezo wake wa ugenini wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kupokea kipigo cha mabao 4-0 kutoka timu ya Kaizer Chiefs ikiwa ni mchezo wao wa kwanza wa hatua ya robo fainali katika Dimba la FNB jijini Johannesburg Afrika Kusini.


Mlinzi wa kati wa Kaizer Chiefs Eric Mathoho aliipatia timu yake goli la kuongoza katika dakika ya 6 ya mchezo huo, huku Samir Nurkovic akipachika mabao mawili katika dakika ya 34 na 57 ya mchezo huo ambapo David Leonardo Castro Cortés akipigikia msumari wa mwisho na kuongeza goli la nne Katika dakika ya 63 ya mchezo huo.

Mchezo wa marudiano utafanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi ijayo tarehe 22 ambapo Simba SC watahitajika kushinda mabao 5-0 ili kuweza kufuzu kucheza hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo.

MchezoKaizer Chiefs vs Simba SC
TareheJumamosi, Mei 15
Muda18:00 SA/ 7:00 Tz


Post a Comment

0 Comments