Rais Samia awaongoza Watanzania kuaga mwili wa Teddy Mapunda


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha maombelezo kabla ya kuaga mwili wa Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam Mei 9, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wakati wa shughuli za kumuaga Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA IKULU).

Post a Comment

0 Comments