TARI yaendelea kutoa elimu, kuonyesha bidhaa maonyesho yanayoendelea Dodoma
Muonekano wa picha zikionyesha siku ya pili ya maonyesho ya kitaifa ya sayansi na teknolojia na ubunifu nchini yananayoendela jijini Dodoma, Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) inaendelea kuonyesha bidhaa zinazotengenezwa katika vituo vyake vyote nchini huku watafiti kutoka vituo 17 nchini wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi mbalimbali. (Picha na TARI).

Post a Comment

0 Comments