WAFANYAKAZI WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA WAADHIMISHA SHEREHE ZA MEI MOSI, 2021 JIJINI DAR ES SALAAM

FURAHA YA MEI MOSI: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakisherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani – mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. MFANYAKAZI BORA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA 2021: Bw. Muhidini Rajabu Mbegu (kushoto) Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Ofisi ya Rais, tume ya Utumishi wa Umma akimpongeza Mfanyakazi Bora wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2021, Bi. Nuru A. Hanti (kulia) leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Mei Mosi 2021.


MEI MOSI 2021: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2021. MEI MOSI 2021: Baadhi ya Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma waliohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Mei Mosi wakiwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam (leo) wakifuatilia kwa ukaribu Hotuba ya Mgeni Rasmi, Mhe. Abubakari Kunenge. (Picha na PSC).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news