Malalamiko ya madereva wa malori mjini Tunduma yamfikia Waziri Mhagama


Kupitia vyombo vya habari jana usiku, Madereva wa Malori waliopo Tunduma, dhidi ya mwajiri wao kampuni ya Evarist Freight Ltd, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwenye dhamana ya Kazi na Ajira Nchini,anafuatilia suala hilo na leo atatoa ufafanuzi .

NUKUU "Kupitia vyombo vya habari jana, nimesikia malalamiko ya madereva wa malori waliopo Tunduma, dhidi ya mwajiri wao Kampuni ya Evarist Freight Ltd, nafuatilia na leo nitatoa Ufafanuzi. "Mhe. JENISTA MHAGAMA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) 20 Juni 2021."

Post a Comment

0 Comments