Rais Samia amteua Batilda Salha Buriani kuwa Mkuu wa Mkoa Tabora, Hapi apelekwa Mara, Mhandisi Robert Gabriel mkoani Mwanza


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Bi.Batilda Salha Buriani kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora huku Mheshimiwa Ally Salum Hapi akihamishiwa mkoani Mara na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Mhandisi Robert Gabriel akipelekwa mkoani Mwanza.

Post a Comment

0 Comments