Robo Fainali za Ligi ya Vijana U20 kuanza Juni 10

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Robo Fainali za Ligi ya Vijana U20 zinatarajiwa kuanza Juni 10 hadi 19 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mkoani Dar es Salaam.
Timu zilizofuzu hatua hiyo ni pamoja na mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar, Azam FC, JKT Tanzania, Kagera Sugar, Tanzania Prisons, Simba SC, Mwadui FC na Yanga.

Post a Comment

0 Comments