Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania atangaza Sikukuu ya Eid El-adh'haa itakuwa Julai 21


Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana ametangaza kuwa, Sikukuu ya Eid El-adh'haa itakuwa tarehe 21 /07/2021 siku ya Jumatano ambayo ndiyo itakuwa siku ya mapumziko kitaifa.

Post a Comment

0 Comments