Anusurika kifo kwa kushambuliwa na wafugaji kwa mkuki, bakora za kisogoni

Na Omary Mngindo, Mwanabwito

MKAZI wa Kitongoji cha Mwanabwito Kata ya Kikongo Halmashauri ya Kibaha (Kibaha Vijijini) Mkoa wa Pwani Ramadhani Pwimwilu, amenusurika kuchomwa kwa mkuki na wafugaji jamii ya Wasukuma.

Tukio hilo limetokea baada ya mkazi Yohana Mrope kuwakataza wasiingize mifugo kwenye shamba lake, ambapo walipokatazwa kabla ya tukio hilo walimjeruhi Mrope kwa kumpiga kwa fimbo kisogoni na mkononi hali iliyosababisha mkulima hyo kushonwa.

Akizungumza mbele ya waandishi Pwimwilu amesema kuwa;

Post a Comment

0 Comments