Kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kuanza kesho

Kwa mujibu ya taarifa iliyotolewa leo nyumba za kawaida watalipa Shilingi 12,000 na Shilingi 60,000 kwa kila sakafu ya ghorofa ambapo kila mnunuzi wa Umeme atakatwa sh. 1,000 kwa mwezi kwa Nyumba ya kawaida na sh. 5,000 kwa sakafu ya ghorofa

Post a Comment

0 Comments