MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA ATANGAZA KUJIUZULU

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na Novemba Mosi, 2021 itakuwa siku yake ya mwisho baada ya kuitumikia kampuni hiyo yenye wateja wengi katika maeneo mbalimbali nchini.
Katika taarifa yake Vodacom imeeleza kuwa Bodi ya wakurugenzi ipo katika mchakato wa kumpata mrithi wa Hendi, ambaye ameitumikia kampuni hiyo kwa miaka mitano, na pindi atakapopatikana na kuidhinishwa atatangazwa.

Post a Comment

0 Comments