Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride rasmi la Jeshi la Rwanda alipowasili Ikulu Kigali mchini humo, leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda alipowasili Ikulu. Kigali mchini humo, leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame.
