Tukaishangaze Dunia kupitia Mlima Kilimanjaro na Serengeti, piga kura yako hapa

Mount Kilimanjaro is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones; Kibo, Mawenzi, and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base. 
 
While The Serengeti National Park is a national park in Tanzania that stretches over 14,763 km2 (5,700 sq mi).It is located in the Mara and Simiyu regions and contains 15,000,000 hectares (37,000,000 acres) of savanna

It is well known for the largest annual animal migration in the world of over 1.5 million blue wildebeest and 250,000 zebra and for its numerous Nile crocodile and honey badger.[2] The park includes the neighbouring Ngorongoro Conservation Area, and Maasai Mara National Reserve in bordering KenyaVote here>>>

 
NI MUHIMU MNO

Kwa mara nyingine tena Mlima wetu adhimu kabisa wa Kilimanjaro na Hifadhi yetu ya Taifa ya Serengeti imechaguliwa kuwania tuzo za Utalii Duniani (World Travel Awards 2021) ambapo Mlima Kilimanjaro umechaguliwa kuwania tuzo ya Kivutio Bora zaidi Afrika (Africa's Leading Tourist Attraction) na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambayo imechaguliwa kuwania tuzo ya Hifadhi Bora zaidi Africa (African's Leading National Park).
Mlima Kilimanjaro upo Moshi Mkoa wa Kilimanjaro
Mfano wa kilele cha mlima kilimanjaro
JINSI YA KUPIGA KURA.

Jinsi ya kuipigia kura Serengeti kuwa Hifadhi Bora Afrika na Mlima Kilimanjaro kuwa  Kivutio bora cha Utalii Barani Afrika mwaka 2021.

Jiandikishe kwenye website ya world travel awards  kama huna account kisha JISAJILI UPATE AKAUNTI YAKO ITAKAYOKUWEZESHA KUPIGA KURA


1. Baada ya   kubonyeza hapa >>> nenda register, kisha andika majina yako mawili,email yako na password. Hakiki kuwa wewe sio Robot kwa kuweka tick kwenye kibox na kufuata maelekezo.

2. Hatua ya pili rudi katika email yako na verify email kuwa ni email ni ya kwako,

3. Rudi tena katika ukurasa wa World Travel Awards, na ufungue  bara la Africa na kupiga kura Serengeti katika kipengele cha Hifadhi Bora Afrika yaani Africa's Leading National Park 2021 na Mlima Kilimanjaro kama Kivutio Bora zaidi cha utalii Africa yaani Africa's Leading  Tourist Attraction 2021.

Kura yako ni ya muhimu sana asante na karibu!

OR


Post a Comment

0 Comments