Magazeti leo Septemba 9,2026

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema itaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kudhibiti uingizaji, usambazaji na matumizi ya dawa, vifaatiba, vitendanishi na bidhaa za tumbaku zisizokidhi viwango nchini.
Akizungumza katika kikao kazi kati ya TMDA na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo alisema ushirikiano huo ni muhimu kuhakikisha bidhaa zinazotumika na wananchi zinakuwa na ubora, usalama na ufanisi.

Alisema, TMDA ina jukumu la kudhibiti dawa, vifaatiba, vitendanishi na bidhaa za tumbaku kuhakikisha zinakidhi viwango vinavyotakiwa.

“Majukumu yetu makubwa ni kuhakikisha bidhaa hizo ni bora, salama na zina ufanisi kwa matumizi ya binadamu na mifugo,” alisema.














Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here