Kwa nini mimi kama Mtanzania, ninapaswa kuyafahamu haya kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki?


Namna ambavyo vyanzo vya Mionzi vinavyoweza kuingia kwenye mnyororo wa Bidhaa za Vyakula na Mazingira.
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inazo Maabara za kisasa zinazotoa Huduma mbalimbali zinazotumia Teknolojia ya Nyuklia. Wadau wote mnakaribishwa ili kupata Huduma kutoka kwetu.Tuna Ofisi29 nchini. Mionzi kwa Matumizi Salama na Teknolojia ya Nyuklia kwa Maendeleo ya Taifa.
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania inakushauri, kila unapoona alama hizo hapo juu chukua tahadhari.

Post a Comment

0 Comments