🔴LIVE:Rais Samia akisalimia Wananchi Tegeta akielekea Bagamoyo

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIA WANANCHI WA ENEO LA TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM AKIWA NJIANI KUELEKEA BAGAMOYO MKOANI PWANI KUREKODI KIPINDI CHA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA KIMATAIFA LEO SEPTEMBA 2,2021

Post a Comment

0 Comments