Katibu Mkuu CCM, Sekretarieti watinga Kagera kikazi


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akielekea kuhutubia wajumbe wa Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa Kayago mara baada ya mapokezi alipowasili mkoani humo Novemba 13, 2021 ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa yenye lengo la kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025.
Katibu Mkuu CCM, ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Shaka Hamdu Shaka wakiwa ziarani mkoani Kagera.
Katibu Mwenezi wa CCM, ndugu Shaka Hamdu Shaka akihutubia katika mkutano huo. (Picha zote na CCM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news