MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA VITA YA KWANZA NA MIAKA 76 YA VITA VYA PILI VYA DUNIA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akisoma hotuba yake wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 107 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 76 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia. Maadhimisho hayo yamefanyika katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Uingereza nchini Mhe. David Concar akisoma hotuba yake katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 107 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 76 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia. Maadhimisho hayo yamefanyika katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (katikati) pamoja na Balozi wa Uingereza hapa nchini Mhe. David Concar na baadhi ya Mabalozi kutika nchi za Jumuiya ya Madola wakifuatilia kumbukizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 107 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 76 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya Dunia.
Viongozi na wananchi wakifuatilia kumbukizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 107 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 76 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya Dunia.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb), Balozi wa Uingereza Nchini, Mhe. David Concar pamoja na Balozi wa Ujerumani Nchini, Mhe. Regina Hess wakienda kuweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa mashujaa wa vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya dunia katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donnel pamoja na Balozi wa Pakistan nchini, Mhe. Muhammad Saleem wakienda kuweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa mashujaa wa vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya dunia katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Marekani nchini, Mhe. Donald Wright pamoja na baadhi viongozi wakitoa heshima mara baada ya kuweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa mashujaa wa vita ya kwanza ya dunia na ya pili ya dunia katika makaburi ya Mashujaa yaliyoko eneo la Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Uingereza Nchini, Mhe. David Concar pamoja na Balozi wa Ujerumani Nchini, Mhe. Regina Hess wakiweka shada la maua katika mnara wa askari ulioko Posta Jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 107 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 76 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya Dunia.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 107 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia na miaka 76 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya Dunia.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news