Orodha ya majina ya watumishi wote waliopata vibali vya uhamisho kwa kubadilishana vituo vya kazi mwezi Julai-Oktoba,2021

NA GODFREY NNKO

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Profesa Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 364 wa kubadilisha vituo vya kazi kwenye mamlaka za Serikali za mitaa.
Hayo yamebainishwa leo Novemba 9,2021 kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, OR-TAMISEMI,Nteghenjwa Hosseah

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Prof.Shemdoe amesema, OR-TAMISEMI itaendelea kufanyika kazi maombi ya uhamisho wa aina hiyo tu kwa sasa wakati tathimimi ya mahitaji ya watumishi katika halmashauri zote ikiendelea kufanyika.












Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news