Rais Samia ahutubia miaka 50 ya Hospitali ya Bugando jijini Mwanza


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi huduma ya MRI katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Viwanja vya Hospitali ya Bugando kwa ajili ya Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Maaskofu wa Hospitali ya Bugando mara baada ya kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Washiriki wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,(hayupo pichani) wakati akihutubia kwenye Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021. (PICHA NA IKULU).

Post a Comment

0 Comments