WASAFI MEDIA WAOMBA RADHI KWA MAUDHUI YAO KUHUSU YESU

Maudhui yaliyorushwa katika mitandao ya Kijamii, Novemba 1, 2021 yakiwa na kichwa Cha habari “Hata Yesu alifuata Wenye Pesa/Msituite Matapeli” yameonekana kuleta kashfa kwa waumini wa dini ya Kikristo.Mahojiano hayo yalikuwa kati ya mtangazaji Jordan Mwasha (Mchaga OG) na Daniel Shillah.

Post a Comment

0 Comments