Miaka 60 ya Uhuru, Tanzania yaonyesha uhodari wake kupitia majeshi, silaha za kisasa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuwapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, katika Maadhimisho yaliyofanyika Desemba 9, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwenye Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika Desemba 9, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Heshima ya Wimbo wa Taifa kwenye Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika Desemba 9, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.














Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ vikipita Kikakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Desemba 9, 2021.
Vijana wa halaiki wakionyseaha ukakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Desemba 9, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akihutubia wakati wa Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika Desemba 9, 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Wakifuatilia Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika Desemba, 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news